Rais Jakaya Kikwete akifunia kitambaa kuweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Soka wa Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya Soka ya Azam Fc, uliopo Mbagala Chamazi jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe,wakati wa uzinduzi rasmi wa uwanja wa huo.
Rais Jakaya na ujumbe wake wakitembelea sehemu za uwanja huo, hawa wakipita karibu na Bwawa la kuogelea lililopo ndani ya uwanja huo. Picha na Habari Mseto
0 comments:
Post a Comment