Home » » PICHA: Kassian na Sabina wafunga pingu za maisha

PICHA: Kassian na Sabina wafunga pingu za maisha

Kassian na mkewe Sabina wakiwa katika pozi la picha baada
ya kufunga ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Chang,ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na Sherehe ya kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini.
 Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo na Bi Harusi ni  mwajiriwa  katika
Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.


Kassian  Ernest akimvisha pete ya ndoa mkewe Sabina Alexander katika Ibada ya misa takatifu ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Chang,ombe jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na Sherehe ya kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini . 
Bwana Harusi ni mwajiriwa katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo na Bi Harusi ni  mwajiriwa  katika Chuo cha Elimu ya Biashara CBE.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa