Home » » HII NDIYO AJALI ILIYOTOKEA CHANG'OMBE JIJINI DAR ES SALAAM

HII NDIYO AJALI ILIYOTOKEA CHANG'OMBE JIJINI DAR ES SALAAM

Ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ambayo imetokea katika barabara ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam 
Pichani juu ni taswira za ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ambayo imetokea katika barabara ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kusababisha msongamano mkubwa wa magari. Lori la mafuta ya kupikia lenye namba za usajili T 219 lililokuwa likitoka bandarini kuelekea Ubungo, limegongana na daladala kisha kupinduka na kuziba barabara ya Chang'ombe. Baadhi ya wananchi waliofika eneo la tukio walionekana kuwa busy wakichota mafuta yaliyomwagika kutoka kwenye Lori hilo.
Picha na KAPINGAZ-MAFOTO BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa