Home » » MAJAMBAZI WAVAMIA GARI NA KUPORA FEDHA SHUHUDIA

MAJAMBAZI WAVAMIA GARI NA KUPORA FEDHA SHUHUDIA


Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.

Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya VITZ N a kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya asia na kupora kiasi cha fedha ambacho bado dhamani yake haijafahamika mara moja.
chanzo mdodosaji

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa