Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mh. Shamsi Vuai Nahodha akizungumza wakati akifungua Mkutano wa mh. Mkuu wa Mkoa, Kamati ya Ulinzi na Usalama na Viongozi wa Dini kujadili mustakabali wa hali ya amani katika mkoa wa Dar es Salaam.(Picha na Mo Blog)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Said Sadick Meck akitoa salamu za mkoa wakati wa mkutano baina yake, kamati ya ulinzi na usalama na viongozi wa dini kujadili mustakabali wa hali ya amani katika mkoa wa Dar es Salaam.
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya wadau waliohudhuria mkutano huo wa siku mbili wakiwemo maofisa wa polisi, viongozi wa dini, maofisa wa serikali na wasomi mbalimbali.
 
 Picha  na MO Blog