Home » » REDD'S MISS UBUNGO 2013 KUPATIKANA IJUMAA MEI 17

REDD'S MISS UBUNGO 2013 KUPATIKANA IJUMAA MEI 17


Baadhi ya washiriki wa Shindano la Redd's Miss Ubungo 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao  jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa ya Mei 17, mwaka huu katika Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar es Salaam na kusindikizwa na kundi zima la FM Academia wazee wa Ngwasuma.(Picha na  Mpigapicha wetu).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa