Home » » SHUHUDIA AJALI YA ROLI NA PIKIPIKI NJIA PANDA YA KINYEREZI

SHUHUDIA AJALI YA ROLI NA PIKIPIKI NJIA PANDA YA KINYEREZI

 Lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 647 CEK, likiwa limeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza kwenye taa nyekundu leo mchana kwenye njia panda ya Segerea.
 Dereva wa pikipiki akiugulia maumivu kabla ya kupatiwa msaada wa kukimbizwa hospitali baada ya ajali hiyo.
 Dereva wa pikipiki akiugulia maumivu kabla ya kupatiwa msaada wa kukimbizwa hospitali baada ya ajali hiyo.
 Picha na Adam Mzee

0 comments:

Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa