Warembo
wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano
ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakipata
maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa
walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es
Salaam
Mpigapicha
Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Staa Poti, Jambo Brand Tanzania na Dar
Metro, Richard Mwaikenda akiwapatia warembo hao elimu ya picha za
habari.
Warembo
wanne walioingia Redds Miss Temeke 2013, baada ya kushinda mashindano
ya Redds Miss Kigamboni yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, wakizungumza na
Mwandishi wa Habari wa gazeti dada la Staa Spoti, Zahoro Mlanzi
walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hilo na la Jambo Leo, Dar es
Salaam
Mwandishi wa habari za michezo, Asmah Mokiwa akizungumza na warembo hao
Warembo wakipata maelezo kwa Proof Reader, Joseph Mabula
Mhariri wa gazeti la Jambo Leo Jumapili, Said Mwishehe (kulia), akiwapa somo warembo hao
Warembo wakiangalia jinsi msanifu kurasa akiandaa gazeti
0 comments:
Post a Comment