Katibu Mkuu
wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akifungua
kongamano la Uchumi na Ajira kwa Vijana wa Tanzania lililofanyika katika ukumbi
wa Don Bosco jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Kamati ya Kimataifa
ya Chama cha Convervative, Rolf Aagaaro-Svenevosen na Katibu Mkuu wa chama
hicho mrengo wa Vijana.
Baadhi
ya wafuasi wa Chadema wakinunua skafu, kofia za chama hicho wakati wa
kongamano la Uchumi na Ajira kwa Vijana wa Tanzania lililofanyika katika
ukumbi wa Don Bosco jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa
akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama hicho mrengo wa Vijana wakati wa kongamano la Uchumi na Ajira kwa Vijana wa Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa Don Bosco jijini Dar es Salaam
(Picha na Francis Dande)
0 comments:
Post a Comment