Juu na chini ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Taasisi na Ulinzi
wa Ikolojia kutoka nchini China, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 17, 2013 kwa ajili ya
kumkabidhi Tuzo ya Utunzaji wa Mazingira.
Juu na chini ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Tuzo ya Utunzaji wa Mazingira na
Kiongozi wa Ujumbe huo, Dkt. Jiang Ningjun, wakati Ujumbe huo ulipofika
Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Agosti 17, 2013 kwa ajili
ya kumkabidhi Tuzo hiyo. Kulia ni Xiaoyi Jin.
Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment