Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na
kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel
Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni
nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16,
2013.
Mama Salma Kikwete akiweka
saini katika kitabu cha maombolezo kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu
mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa
anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam
leo Agosti 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini katika kitabu cha maombolezo huku Mama Salma Kikwete
akisubiri zamu yake wakati walipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa
kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo
aliyefariki juzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa
marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiomboleza na kufariji
wafiwa katika msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel
Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India alikokuwa anatibiwa. Hapa ni
nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 16,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Katibu Mkuu
wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huko India
alikokuwa anatibiwa. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Oysterbay jijini Dar
es salaam leo Agosti 16, 2013
(picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment