Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia Msajili wa Vyama vya Siasa
mpya Jaji Francis Mutungi wakati akitia saini mara baada ya kuapishwa
Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea kazi Msajili wa Vyama
vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Vyama
vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa
Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji
Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John
Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam (picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment