Home » » Wahitimu 40 wa Mafunzo ya ulinzi shirikishi kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar wakabidhiwa vyeti vyao

Wahitimu 40 wa Mafunzo ya ulinzi shirikishi kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar wakabidhiwa vyeti vyao


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kulia) akimkabidhi cheti, Mtendaji wa Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni , Husna Nando wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akimkabidhi cheti cha shukrani Mkuu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni, Koplo Ibrahim Omari wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kushoto) akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya Ulinzi shirikishi na wakati wa Kata ya Maakumbusho wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu hao Mwananyamala jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni, Koplo Ibrahim Omari akitoa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya Jordan Rugimbana kwa kupisha zoezi la kutoa mafunzo ya ulinzi shirikishi kuwa la Wilaya nzima wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salam jana.
Baadhi ya Polisi jamii wa Barabara ya Kilwa,wakiwa kwenye gwaride na mbwa waliopewa mafunzo maalumu ya ulinzi shirikishi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi wa Kata ya Makumbusho Mwananyamala Kinondoni jijini Dar es Salaam jana
.Picha na Michael Machellah.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa