mwili wa marehemu ukiwa unaning'inia baada kujinyonga
Mke wa marehemu
Mwanaume
mmoja ambaye
jina lake, halikuweza kutambulika
mara moja, mkazi wa
Kigogo-Mbuyuni jijini Dar-es-Salaam
asubuhi ya kuamkia mei 29
alijinyonga kwa madai ya
ugumu wa maisha
uliosababishwa na kukosa
ajira.
CHANZO: GPL
0 comments:
Post a Comment