Home »
» Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi awasili Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi awasili Tanzania
Mjumbe
wa NEC Ndg. Phares Magesa akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama
cha CNDD-FDD cha Burundi Ndg. Burikukiye Victor katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere mara baada ya kumpokea.
0 comments:
Post a Comment