Boti moja iliyobeba mizingo kuelekea Zanzibar inawaka moto hivi sasa
katika bahari ya hindi nje kidogo ya bandari habari kutoka Brekig news
ya Radio one leo asbuhi boti hiyo ni ile inayobeba mizig ya
wafanyabiashara jeshi la polisi pamoja na vifaa kadhaa vimelekea vkatika
tukio ili kuwahi kuzima moto tutawaletea zaidi.
CHANZO VIJIMAMBO BLOG
0 comments:
Post a Comment