Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kutoka (kulia) Prof. Palamagamba
Kabudi, Alhaj Said El- Maamry, Bi. Kibibi Hassan na Bi. Esther Mkwizu
wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013)
kuchambua maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya yaliyowasilisha
na kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi
karibuni.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi
(kulia)akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10,
2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni. Kushoto ni Mjumbe wa Tume, Alhaji Said El-
Maamry.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kushoto)
akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013)
uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Bw. Yahya
Msulwa.
Wajumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, upande wa pili kushoto Bi. Jesca
Mkuchu, Bi. Fatma Said Ali na wajumbe wengine Bi Maria Kashonda na Yahya
Msulwa wakiwa katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10,
2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
yaliyowasilishwa kutoka katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.

wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu (kulia)
akizungumza katika kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba 10, 2013)
cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
yalitolewa katika Mikutano ya Mabaraza ya Katiba iliyomalizika hivi
karibuni. Kuli ni Mjumbe wa Tume, Bi. Mwatumu Malale.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Awadh Said (kushoto)
akibadilishana mawazo na wajumbe wengine wa Tume, Bi. Mwatumu Malale na
Prof. Mwesiga Baregu wakati wa kikao kilichofanyika leo (Alhamisi Oktoba
10, 2013) cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Rasimu ya Katiba
Mpya yaliyowasilishwa kutoka katika mikutano ya Mabaraza ya Katiba
iliyomalizika hivi karibuni.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)
0 comments:
Post a Comment