Sikiliza Tone Radio Tz : http://www.toneradiotz.com/listenlive.php
Yaani huwa kuna imani kuwa vitendo vingi vya ukatili vinafanywa na
wanaume, ila la hasha hata wanawake nao ni balaa. Sababu kubwa ya
kuamini hivyo ni ile hali ya kuchukulia unaujua uchungu wa kuzaa, unajua
hata wewe hutapenda mwanao afanyiwe vitendo ambavyo sio vizuri,
nimekutana na mama huko Ubungo maziwa akiwa amemuajiri mtoto mdogo wa
miaka 8 kama house girl na mbaya zaidi anampiga vipigo sana sana mpaka
kumkata kata na mtoto ana makovu ya vipigo.
0 comments:
Post a Comment