Home » » JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA AAGWA RASMI KITAALUMA

JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA AAGWA RASMI KITAALUMA


Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu Mara baada ya Sherehe ya kufuata Kitaaluma Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Geofrey Paul Shaidi (wa pili kushoto).
Picha ya pamoja na familia ya Jaji Mstaafu Mhe. Geofrey Shaidi (aliyeketi wa pili kushoto) na Viongozi wa Mahakama na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpa shada la maua, Jaji Mstaafu, Mhe. Geofrey Shaidi mara baada ya kuagwa rasmi Kitaaluma mapema Leo, katika Ukumbi namba 1 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa