Home » » MOTO ULIVYO CHOMA VIWANDA VYA VINGUNGUTI JANA

MOTO ULIVYO CHOMA VIWANDA VYA VINGUNGUTI JANA


  Moto ulioleta hofu katika eneo la viwanda la Vingunguti jijini Dar es Salaaam jana mchana, ukiteketeza mabaki ya mali ghafi za kiwanda cha Plastiki cha OK Plastics Limited, ambao ulisambaa eneo hilo na kuzua tafrani kubwa baada ya moto huo kuwashwa na mtu ambaye hadi sasa anashikiliwa na polisi kwa kuchoma mabaki ya malighafi hizo na kuzua kizaa zaa. Picha na Francis Dande
 Moto huo ukiendelea kuwaka ambao baadaye ulifanikiwa kudhibitiwa na maagari ya zimamoto.
Ni moshi mzito uliokuwa umesambaa eneo hilo.

Chanzo Sufiani Mafoto Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa