Home » » SIBUKA TV WAFANYA ROAD SHOW MAENEO YA MBAGALA NA TANDIKA KUWAELIMISHA WANANCHI JINSI YA KUWEZA KUTAZAMA BONGO MOVIE(SIBUKA MAISHA) KWA BEI POA KATIKA KING'AMUZI CHA STAR TIMES.

SIBUKA TV WAFANYA ROAD SHOW MAENEO YA MBAGALA NA TANDIKA KUWAELIMISHA WANANCHI JINSI YA KUWEZA KUTAZAMA BONGO MOVIE(SIBUKA MAISHA) KWA BEI POA KATIKA KING'AMUZI CHA STAR TIMES.

 

 Maandalizi ya kuanza Road show
 Safari imeanza
 Burudani ikitolewa kwa ajili ya kuhimiza na kuwafundisha wakazi wa Tandika na  Mbagala juu ya Sibuka maisha ambapo sasa wataweza kutazma Bongo Movie kupitia  Startimes
 Wakazi Mbalimbali wakigawiwa vipeperushi ambavyo vinatoa maelezo zaidi juu ya  mafunzo hayo
 Watu mbalimbali wakionekana kusikiliza kuhusu Sibuka Maisha ambapo sasa Kupitia 
Star times wataweza kutazama Bongo Movie .
 
 

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa