Home » » UJENZI WA DARAJA ENEO LA BONDENI KUELEKEA BAGAMOYO WASABABISHA KERO KUBWA YA FOLENI KILA MUDA.

UJENZI WA DARAJA ENEO LA BONDENI KUELEKEA BAGAMOYO WASABABISHA KERO KUBWA YA FOLENI KILA MUDA.




 HILI NI ENEO AMBALO MAGARI HUPISHANA YAKITOKEA MWENGE KUELEKEA BAGAMOYO NA BAGAMOYO KUELEKEA MWENGE , PAMEKUWA NA USUMBUFU MKUBWA KWA MAGARI HAYO KUPISHANA JAMBO AMBALO LINATAKIWA MUONGOZA MAGARI KUWEPO JIRANI.

HEKA HEKA HII ILITOKEA MARA BAADA YA DCM HII KUZIMIKA KATI KATI YA BARABARA ENEO AMBALO KUNA MSONGAMANO MKUBWA WA MAGARI NA KUSABABISHA FOLENI MARA MBILI ZAIDI 




 PEMBENI MAFUNDI WAKIENDELEA NA UJENZI WA BARABARA HIYO

 HII NI PICHA HALISI AMBAYO INAONESHA UGUMU WA KUPISHANA KWA MAGARI HAYO KAMA INAVYO ONEKANA

KWA UJUMLA HAKO KAENEO NDIKO KENYE MATATIZO SANA LAKINI UKITAZAMA KWA MBELE UTAGUNDUA HAKUNA MSONGAMANO MKUBWA WA MAGARI NA NJIA NI NYEUPE KABISA .

PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa