Home » » AJALI YATOKEA TABATA SEGEREA BAADA YA DALADALA KUGONGA BODABODA‏

AJALI YATOKEA TABATA SEGEREA BAADA YA DALADALA KUGONGA BODABODA‏


Daladala yenye  namba ya usajili T 798 ALV ikiwa imegonga pikipiki yenye namba ya usajili T 174 CAP na kusababisha mwanamke aliyekuwa amepanda bodaboda hiyo kuumia vibaya katika barabara ya kuingia kwenye Stendi ya Tabata Segerea.
Madereva wa bodaboda kwenye eneo la stendi ya Segerea wakiwa wamemzunguka Dereva wa daladala baada ya kumgonga mwenzao.

 
Huu ndio mwonekano wa daladala iliyogonga  bodaboda
 
Baadhi ya wananchi wakiangalia ajali hiyo
Umati wa watu wakiangalia tukio hilo

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa