Mkono wa mtu uliopatikana kandokando ya Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya Viroba na Plastiki, Mababi jijini Dar.
Dada wa kijana anayedaiwa kuwa mwenye mkono huo, Rehema Rashidi akihojiwa na mwandishi wa ITV, Sam Mahela.
Mmiliki wa kiwanda hicho, Lee Sliim, akiwa ndani ya gari la Polisi kuelekea kituoni kwa mahojiano zaidi.
DUNIA inaimba sandakarawe! Mwenye kupata sasa anapata na mwenye
kukosa hana chake tena! Mwekezaji mmoja wa kiwanda cha Urafiki Plastic
Co. Ltd kinachokihusisha na utengenezaji wa mifuko ya viroba na palstiki
ambaye ni raia wa China, Lee Slim amekamatwa kwa tuhuma za kuonekana
kwa mkono wa mtu karibu na kiwanda chake, tukio hili limetokea mchana
huu maeneo ya Mabibo, jijini Dar es salaam. Mkono huiop unadaiwa kuwa ni
wa mfanyakazi wa kiwanda hicho, kijana Jumanne Rashid.
( HABARI/PICHA: BRIGHTON MASALU/GPL )
0 comments:
Post a Comment