Wafanya
biashara wakiendelea na biashara pembezoni ya maji machafu na pia maji
hayo yanatoa harufu mbaya eneo la Tandika baada ya mvua kunyesha kwa
siku moja
Haya ndio maji machafu yaliyoko kwenye stendi ya mabasi ya Tandika
Kama kawaida vijana wakiendelea na kazi
Na Pamoja Pure
0 comments:
Post a Comment