Kutoka kushoto ni wanenguaji Aisha Madinda, Otilia Boniface na Marehemu Mwantum Athuman wakilishambulia jukwaa.
Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Mwantum Athuman amefariki dunia jana
katika Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam baada ya
kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji. Marehemu Mwantum atazikwa
leo saa 10 katika Makaburi ya Mburahati, Dar. Mungu ailaze roho ya
marehemu mahali pema peponi. AMEN!
GLOBAL PUBLISHERS
0 comments:
Post a Comment