Gari aina ya Toyota Spacio baada ya kuteketezwa kwa moto na Berry White.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Berry White.
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Berry White anadaiwa
kuliteketeza kwa moto gari la mpenzi wake aina ya Toyota Spacio baada ya
kuhisi anasalitiwa na wandani wake huyo. (GPL)
0 comments:
Post a Comment