Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana Oktoba 2, 2013 akitokea London,
Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open
Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu
Mahiza.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana Oktoba 2, 2013 akitokea London,
Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open
Government Partneship Summit), akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Gharib Bilali aliyefika kumlaki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam jana Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza,
alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi
(Open Government
Partneship Summit).
(PICHA NA IKULU)
0 comments:
Post a Comment