Home » » MTOTO SULEIMAN AMELAZWA CCBRT KWA AJILI YA MATIBABU.

MTOTO SULEIMAN AMELAZWA CCBRT KWA AJILI YA MATIBABU.


Mtoto Suleiman Amelazwa katika hopitali ya CCBRT na vipimo vikubwa vinaendelea kufanyika. Hadi leo hii tumekusanya shilingi milioni sita na lakin nane. Milioni tatu zimewekwa katika akaunti ya CCBRT kwa ajili ya malipo na tutawajulisha muda si mrefu kama operesheni yake itaweza kufanyika hapa Tanzania au nje ya nchi. Tumuachie Mungu, afanye miujuza... Tumuombee mtanzania mwenzetu.

Suleiman akiwa wodini CCBRT - Anawashukuru wote...
Na Jestina George Blog



0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa