Home » » HIVI NDIVYO MADUKA YALIVYOFUNGWA MITAAA YA KARIAKOO BAADA YA MGOMO WA WAFANYABIASHARA

HIVI NDIVYO MADUKA YALIVYOFUNGWA MITAAA YA KARIAKOO BAADA YA MGOMO WA WAFANYABIASHARA



Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.

Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.

Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.
--> Dj sek Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa