Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana
na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akimsindikiza na kuagana
naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara
yake ya siku tatu nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa
akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es
Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter
Muhongo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiondoka kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana usiku
kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiondoka kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana usiku
kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Juma.
0 comments:
Post a Comment