Mjumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora Mh.
Abdallah Sallehe Ahmed akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa
ikitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF BW. Ladislaus Mwamanga (hayupo
pichani).
Kamati
ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora imefanya ziara ya
kikazi katika Makao makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam ili kupata
taarifa za utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini na zilizo
katika Mazingira hatarishi unaotekelezwa chini ya TASAF awamu ya tatu
kote nchini.
Mjumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora Mh. Deogratius Ntukamazina
akichukua dondoo muhimu za TASAF awamu ya tatu kama zilivyotolewa na Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF BW. Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani)
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF BW. Ladislaus Mwamanga (aliyesimama pichani) akitoa kwa Kamati
ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora taarifa ya utekelezaji wa
Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini na zilizo katika Mazingira hatarishi
unaotekelezwa chini ya TASAF awamu ya tatu.
Mjumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora Mh.
Abdallah Sallehe Ahmed akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa
ikitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF BW. Ladislaus Mwamanga (hayupo
pichani)

0 comments:
Post a Comment