Stoo
ya kuhifadhia makasha ya DVD na CD katika ofisi ya GMC Wasanii
Promotion iliyokiuwa katika jengo la GMC Heights Kamata jijini Dar es
Salaam na kusababisha hasara ya mali na jengo.
Jengo hilo la GMC linavyoonekana
Askari wa zimamoto akiangalia wenzake waliokuwa juu wakizima moto huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam alifika eneo la tukio na kuweza kuongea na
wamiliki wa jengo hilo na mmiliki wa GMC Wasanii Promotion Zahri Shivji
juu ya chanzo cha moto huo ambao walieleza bado kujulikana.
Magari ya zimamoto kutoka jiji, Airport na kampuni binafsi za ulinzi yalizima moto huo.
Chanzo: Father Kidevu Blog
Chanzo: Father Kidevu Blog
0 comments:
Post a Comment