Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar
es Salaam, leo kwa mazungumzo, akiwa ameongozana na manaibu wake,
Mwiguku Nchemba na Adam Malima.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na manaibu wake, Mwigulu Nchemba (wa pili kushoto) na
Adam Malima, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.


0 comments:
Post a Comment