Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar
es Salaam, leo Jan 30, 2014 wakati alipokuwa akiwasili katika hafla
hiyo. (Picha na OMR).
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Ummy Mwalimu, kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya
Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu
Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha George Boniface Tuguluvala Simbachawene,
kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wakati wa
hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Kaika Saning’o Telele, kuwa Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri
na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Eng. Dr. Binilith Satano Mahenge, kuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) wakati wa hafla fupi
ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakia katika picha ya pamoja na Waziri na Manaibu Waziri
walioapishwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya na wa
zamani wa Ofisi yake, baada ya kuapishwa wapya katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kutoka (kulia) ni
aliyekuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Muhangwa
Kitwanga, ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano)Samia Suluhu Hassan, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Eng. Dr. Binilith Satano
Mahenge, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu na aliyekuwa
Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Terezya.
0 comments:
Post a Comment