Home » » LIVE MUDA HUU KUTOKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MLIMANI CITY: UZINDUZI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA TANZANIA KWA WANANCHI , BURUDANI YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI

LIVE MUDA HUU KUTOKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MLIMANI CITY: UZINDUZI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA TANZANIA KWA WANANCHI , BURUDANI YA KUMKARIBISHA MGENI RASMI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Kikundi cha muziki kutoka haki za binadamu kikiwa kinatumbuiza kumpokea mgeni rasmi akiwa anaingia
 burudani za muziki wa kiafrika maarufu kama makilikili kikiwa jukwaani kwaajiri ya mapokezi ya mgeni rasmi
 
Mgeni Rasmi Bi.Maafudha Hamidu akiwa amewasili katika ukumbi  
Baadhi ya Watu wakiwa wanampokea mgen rasmi kwa kupiga makofi
 Baadhi ya vikundi vya walemavu wa ngozi wakiwa wamefika kushuhudia uzinduzi  huo
 Kikundi cha vimbwanga kikiwa kinawndelea kutoa burudani kwaajiri ya kuweka ukumbi katika hari ya furaha
Mgeni rasmi akiwa amewasili na kuketi katika meza kuu
 kikundi cha vibwagizo kikiwa kina toa kibwagizo cha bunge la katiba

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa