Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na ya China (CAAC) wasaini mkataba wa ushirikiano wa Ndege zinazotengenezwa China kutua katika Anga la Tanzania

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na ya China (CAAC) wasaini mkataba wa ushirikiano wa Ndege zinazotengenezwa China kutua katika Anga la Tanzania


01
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kutoka Kushoto ni Mwanashereia wa TCAA  Vallery Chamulungu na  Kulia ni  Executive Vice President of  Aviation Industry Corporation of China (AVIC)   Mr. Geng Runguang.
02
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian   (kulia)  wakikabidhiana hati  za mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa leo katika  katika Makao makuu ya ofisi hiyo  jijinia Dar es Salaam.
04
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo (hawapo pichani) juu mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Pia Mkataba huo  utawawezesha   wataalam  wa TCAA uwezo wa  kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kulia ni  Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian. 
05
 Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian, akimabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi   wakati waliposaini mkataba wa ushirikiano  wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa  katika Makao makuu ya ofisi hiyo  jijinia Dar es Salaam.
06
 Baadhi ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria  hafla ya utiliwaji  mkataba wa ushirikiano  wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha  wataalam wa TCAA kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.
08
Viongozi wa kuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  China (CAAC) wakiwa katika Picha ya Pomoja baada ya kusaini mkataba wa Ushirikiano wa maswala ya usafiri wa anga ambapo ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutuoa katika anga la Tanzania

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa