Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa wetu marehemu Ghazal Mohammed Omar
aliyefariki kwa ajali ya gari North Carolina Dec 23, 2013 likipakiwa
kwenye gari siku ya Jumapili Feb 2, 2014 kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili na Ethiopia Airline.
Gari lililobeba mwili wa mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar
likijiandaa kuondoka kuelekea kwenye hospitali ya Agha Khan kwa ajili ya
kuhifadhi mwili wa marehemu.
Mwili wa mpendwa wetu ukiwa njiani kuelekea Agha Khan
Binamu wa marehenu Yusuf Motte akisimika shahidi juu ya kaburi la
mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar wakati wa maziko yaliyofanyika leo
Juamatatu Feb 3, 2914 baada ya sala ya Adhuhuri katika makaburi ya
Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiangalia kaburi la mpendwa wetu Ghazal
Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014 baada ya sala ya
adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Juu na chini ni Ndugu, jamaa na marafiki wakiendelea na mazishi ya
mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014
baada ya sala ya adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiendelea na mazishi ya mpendwa wetu
Ghazal Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014 baada ya
sala ya adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kushoto ni Salim Omar mdogo wa marehemu wakiwa pamoja na Kamugisha
(wapili toka kushoto) msindikizaji wa mwili wa marehemu toka North
Carolina nchini Marekani
Chanzo: Vijimambo Blog
Chanzo: Vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment