MSHAMBULIAJI
wa zamani wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam, Omar Changa amefariki
dunia usiku wa kuamkia Jumapili, Februari 2, mwaka huu kwa ajali ya
pikipiki maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa Mwenyekiti wa Moro United, Rodgers Peter klabu aliyokuwa
anachezea marehemu Changa mara ya mwisho, mwili wa marehemu uliokotwa
maeneo ya Jangwani usiku wa kuamkia Februari 2.
|
Pumzika kwa amani; Omar Changa wa tatu kutoka kushoto waliosimama akiwa na kikosi cha JKT Ruvu | |
Rodgers
Na Dina Ismail, Dar es Salaam
amesema kwamba, mwili wa marehemu utazikwa leo mchana Magomeni mjini
Dar es Salaam, baada ya ibada ya kuusalia itakayofanyika Saa 5:00
asubuhi.
0 comments:
Post a Comment