Home » » Rais Jakaya Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy IKULU Jijini Da es Salaam

Rais Jakaya Kikwete Akutana Kwa Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Nabil Fahmy IKULU Jijini Da es Salaam

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni  Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa  Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  na ujumbe wake walipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.Picha na IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa