Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiwasalimia baadhi ya viongozi,
alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam,
yanakoendelea maonyesho hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya kwanza hapa
Tanzania. Anayempa mkononi Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa ambaye
pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
Mzee Mkapa akiingia ukumbini
Mzee Mkapa akizungumza na kutoa nasaha zake
Waalikwa wakimsikiliza Mzee Mkapa
Picha na Vijimambo blog
Picha na Vijimambo blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment