Kikosi kazi cha Skylight Band
kikiongozwa na Joniko Flower wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa
iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikisebeneka jukwaani.
Hashim Donode wa Skylight Band
(katikati) akitoa burudani kwa wapenzi wa bendi hiyo ndani ya kiota cha
Thai Village Masaki jijini Dar. Kulia ni Winfrida Richard na kushoto ni
Digna Mbepera.
Pichani juu na chini ni mashabiki wa
Skylight Band wakijimwaga kwenye dancing floor ndani ya ukumbi wa Thai
Village Masako jijini Dar.
Mashabiki wa Skylight Band wakicheza
miondoko ya "Yachuma chuma" kwenye show iliyobamba vilivyo ndani ya
kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Muguu wa kushoto mbele, wa kulia nyuma......mi nataka mukanda yachuma chuma weeeee.....!!!!
Aneth Kusbaha AK47 na Winfrida Richard wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Katika kupata ladha nzuri ya muziki
wa Skylight Band vijana hawa ndio wanahusika asilimia 100. Pichani juu
ni Moses na chini ni Athumani pamoja na Idrissa wakinya yao.
Umati wa wadau wa Skylight Band
wakiburudika na muziki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha
Thai Village Masaki jijini Dar.
Digna Mbepera akifanya yake jukwaani.
Mambo ya pwani yalihusika pia....Chezea mduara weweeee...!!!
Mwanafamilia wa Skylight Band Victor
Maginga (wa pili kushoto) akipata ukodak na marafiki zake ndani ya
kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
Mdau John Mwansasu (mwenye shati jeusi) akiwa na rafiki yake.
Alfio wa Ogopa Video's akishow love
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 Ijumaa iliyopita ndani ya
kiota cha Thai Village.... Skylight Band wamefanya shooting ya moja ya
nyimbo zao ni ipi kaeni mkao wa kula soon utaiona kupitia Luninga yako.
Aneth Kushaba AK47 akishow love na fans wake back stage.
Picha juu na chini ni mashabiki wakubwa na wadau wa Skylight Band wakipata Ukodak.
Mdau Alois Ngonyani(kushoto) akishow love na mdogo wake.
0 comments:
Post a Comment