Tahadhari kuhusu mbinu mpya ya kutapeliwa fedha ukitoka kwenye ATM
Matapeli wamebuni mbinu mpya ya kuibia watu fedha punde wanapotoka kuzichukua kwenye ATM.
Punde unapomaliza kuchukua fedha, anakuja mtu anakuomba msaada wa chenji kwa kuwa naye amechukua fedha ila imempa noti kubwa tu.
Huruma na wema wako wa kutoa chenji
unasababisha akupe noti zisizo halali (fake bills) na wewe unakuwa
ulishampatia zilizo halali.
Pichani ni mojawapo ya tukio halisi lililomtokea mtu ambaye ameamua kuwashirikisha wengine ili wajihadhari.
Alikumbwa na utapeli huo alipochukua fedha katika maeneo ya CBE, Dar es Salaam.
Jihadhari!
Via wavuti.com
0 comments:
Post a Comment