Home » » TUKIO KATIKA PICHA: MUONEKANO WA UBUNGO MATAA HADI DARAJANI MUDA HUU..

TUKIO KATIKA PICHA: MUONEKANO WA UBUNGO MATAA HADI DARAJANI MUDA HUU..

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Baadhi ya watu wakiwa wametoka katika maeneo mbalimbali wanarejea makwao na wengine wakiendelea na mambo mengineyo
 Kila mtu na lake
 Abiria wakiwa wameshuka eneo la Darajani kuelekea katika kituo cha Ubungo kupanda mabasi
 Gari dogo likiwa kinyume na utaratibu ... je kwa mtindo huu ajali zinaisha?
 Huyu nae ameweka tuu hovyo Mtungi wa Gesi

 Hapa pana pata shika sana ambapo Askari wa usalama wa Barabarani akiwa anaendelea na kazi ya kuongoza
 Akiendelelea na kazi yake.
 Hawa boda boda kibao wakiwa wamepaki eneo la Mabasi yaendayo kwa kasi..

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa