Home » » WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA MIKOANI PAMOJA NA KARIAKOO

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA MIKOANI PAMOJA NA KARIAKOO

IMG_0222
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.
IMG_0225
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine  za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 12, 2014.
IMG_0226
IMG_0227
  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa