Home » » WAZIRI WA MAENDELEO YA BIASHARA NETHERLANDS AZINDUA VIFAA VYA KUTENGENEZA MTAMBO WA GESI ASILIA JIJINI DAR ES SALAAM

WAZIRI WA MAENDELEO YA BIASHARA NETHERLANDS AZINDUA VIFAA VYA KUTENGENEZA MTAMBO WA GESI ASILIA JIJINI DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
SIMGAS 1Waziri wa maendeleo ya biashara kimataifa wa Netherlands Lilianne Ploume akiweka sahihi yake moja kati ya vifaa vinavyotumika kutengeneza mtambo wa kuzalisha gesi asilia itokanayo na kinyesi mara baada ya kuzindua kiwanda cha kuzalishia vifaa hivyo eneo la barabara ya nyerere jijini Dar jana. Mradi huo unatazamiwa kusambazwa zaidi vijijini ambapo utaokoa misitu inayokatwa kwaajili ya kuchoma makaa. 2.Waziri huyohuyo ankitia sahihi lakini pembeni yake ni wafanyakazi wa kiwanda hicho.
SIMGAS 2Waziri wa maendeleo ya biashara kimataifa wa Netherlands Lilianne Ploume adaa kuweka  sahihi yake moja kati ya vifaa vinavyotumika kutengeneza mtambo wa kuzalisha gesi asilia itokanayo na kinyesi mara baada ya kuzindua kiwanda cha kuzalishia vifaa hivyo eneo la barabara ya nyerere jijini Dar jana. Mradi huo unatazamiwa kusambazwa zaidi vijijini ambapo utaokoa misitu inayokatwa kwaajili ya kuchoma makaa. 2.Waziri huyohuyo ankitia sahihi lakini pembeni yake ni wafanyakazi wa kiwanda hicho.
NA FULLSHANGWE

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa