Home » » Bodi ya Filamu yatathmini maendeleo ya tasnia ya Filamu

Bodi ya Filamu yatathmini maendeleo ya tasnia ya Filamu

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

PIX BODI 1
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akizungumza na waandishi wa habari, hawapo pichani wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu mafanikio yaliyopatikana Bodi ya Filamu kuanzia miaka ya 1930 hadi sasa, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga.
PIX BODI 2
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akionyesha moja ya picha zinazotolewa na wadau wa filamu kama matangazo ya kutambulisha filamu zao sokoni, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga.
(Picha na Genofeva Matemu).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa