Home » » KUJIFANYA MTEMI BARABARANI KUMEMSABABISHIA MAJANGA DALADALA HUYU

KUJIFANYA MTEMI BARABARANI KUMEMSABABISHIA MAJANGA DALADALA HUYU

Kwani ilikuwa kuna ulazima gani kwa Daladala huyu kulazimisha kupita wakati njia si yake na huku anajua fika upande aliokuwa anapita ni kinyume cha Sheria.
 
Ilikuwa mida ya saa sita Flani hivi wakati Daladala moja likitokea Tegeta kuelekea mwenge lilikuwa linakatiza maeneo ya Lugalo ikielekea mwenge huku mvua ikinyesha na alikuwa na Haraka zake ndipo alipo amua kukatiza njia ambayo si sahihi na kulazimisha kujichomeka chomeka na ndipo alipo kumbana na Fuso ambalo lilikuwa katika njia sahihi.

Na ndipo vuta nikuvute ikaanzia hapa...
 Hapa Jamaa wa Fuso akiwa anambana dereva wa Daladala huku nae daladala akiwa analazimisha kukatiza ilikuwa kama senema
 Matokeo yake yakawa ndio haya wakakwaluzana na Dereva wa Daladala kupoteza Kioo cha Site Mirror .. 
Picha na Dar es salaam Yetu

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa