Home » » HIVI NDIVYO MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI,WAKIPINGA KUZUIWA KUINGIA MJINI‏

HIVI NDIVYO MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI,WAKIPINGA KUZUIWA KUINGIA MJINI‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
 Mmoja wa Madereva Bajaj Akiongea na vyombo vya habari mda huu makao makuu ya chadema kinondoni.

Polisi wakiwa wamefika eneo la tukio mda huu ili kuweza kuweka hali ya usalama na kuzuia vurugu


 Waendesha bodaboda na bajaj jijini dar mda huu wameandamana mpaka Ofisi za chadema makao makuu kinondoni,Nia ya maandamano yao hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya kati kati ya jiji la dar.Mmoja wa madereva hao akiongea na mtandao wetu anasema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada.Taarifa kamili na picha zaidi zitakujia inakujia hivi punde.
HABARI NA DJ SEK BLOG





0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa