Home »
» TANGAZO KUTOKA MANISPAA YA KINONDONI:SASA WAWEZA FANYA MALIPO YOTE KWA NJIA ZIFUATAZO
TANGAZO KUTOKA MANISPAA YA KINONDONI:SASA WAWEZA FANYA MALIPO YOTE KWA NJIA ZIFUATAZO
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inapenda kuwaatarifu wanainchi wote wa kinondoni kuwa sasa wanaweza kulipia malipo yote ikiwemo kodi ya majengo na malipo mengine kwa njia zifuatazo.
- CRDB BANK
- MAX MALIPO
- MPESA
- TIGO PESA
- AIRTEL MONEY
LIPA KODI YAKO KWA WAKATI KWA MAENDELEO YA MANISPAA YETU YA KINONDONI.
0 comments:
Post a Comment